Chuki dhidi ya Uislamu
IQNA-Uchunguzi mpya umebaini kuwepo 'ongezeko kubwa na lenye kutia wasiwasi" la ubaguzi wa rangi dhidi ya Waislamu barani Ulaya hasa baada ya utawala haramu wa Israel wa kuanzisha vita vya mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina wanaodhulumiwa katika Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3479641 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/25
Diplomasia
NEW YORK (IQNA) - Vitendo kama vile kuivunjia heshima Qur’ani Tukufu vinatumiwa na magaidi kwa maslahi yao, mkuu wa sera za kigeni wa EU alisema.
Habari ID: 3477634 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/22
Watetezi wa Qur'ani Tukufu
BRUSSELS (IQNA) - Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Umoja wa Ulaya alielezea kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu kama "vitendo vya kutowajibika vya watu wasiowajibika".
Habari ID: 3477408 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/09
Kadhia ya Palestina
BRUSSELS (IQNA)- Katika kikao chake cha hivi karibuni kabisa, Bunge la Ulaya limeutaka Umoja wa Ulaya na nchi wanachama wa umoja huo kuitambua rasmi nchi ya Palestina.
Habari ID: 3477280 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/14
TEHRAN (IQNA) - Mahakama ya juu ya Umoja wa Ulaya (EU) imetoa uamuzi wa kuzuiwa kwa wanawake wenye hijabu kuingia katika maeneo ya kazi, ikidai kuwa marufuku hiyo haimaanishi ubaguzi.
Habari ID: 3475933 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/15
Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA) –Umoja wa Ulaya umetuhumiwa kuwa unapuuza chuki dhidi ya Waislamu.
Habari ID: 3475378 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/15
TEHRAN (IQNA)- Umoja wa Ulaya (EU) umekariri wito wake kwa utawala haramu wa Israel usitishe mpango wake wa kujenga vitongoji zaidi vya walowezi wa Kizayuni katika mji wa Quds (Jerusalem).
Habari ID: 3474486 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/29